Pin Song

Ramadhan Kareem For All Muslim.


Timu nzima ya Zenjivibe.com chini yake Miraji Manzi Kae, inawatakia mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ndugu wote katika Imaan ya Dini ya Kiislam, Duniani kote. Hiki ni kipindi muhimu sana kwa waislam wote katika Ibada ya Toba, hivyo tujitahidi kuhimizana kufanya ibada na kumcha Allah Sub Hannahu Wataala.
Amin

Ramadhan Kareem.

No comments