VIDEO | TEN BALLZ - MCHEZO | MP4 DOWNLOAD
VIDEO | TEN BALLZ - MCHEZO | MP4 DOWNLOAD
ARTIST ; STAGE NAME *TEN BALLZ*, NATIONALITY Tanzania, MAKAZI YAKE NI Nairobi Kenya, baada ya single *mtoto wa pwani* ALYO Fanya kama band iliyo fahamika KWA JINA LA TBM BAND JAMAA AKATULIA mwaka mzima NA BAADAE AKATULETEA SINGLE SAFI SANA inayopatikana kwa EP YAKE jina *mchezo. Audio Producer starjay studio VON RECORD. LABEL HME(HOME MUSIC EMPIRE) VIDEO DIRECTOR MiseeAtura video imefanyika Nairobi Kenya audio Tanzania KAMA HUJSIKILIZA WALA KUDOWNLOAD AUDIO YAKE NIMEKUSOGEZEZEA SASA HAPA UNAWEZA KUITAZAMA NA KUIPAKUA PIA
No comments